Verse 1
Bustanini Getsameni, Yesu akaanguka kifudifudi, akaomba
Chorus
{ Baba yangu ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke
Lakini si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe} *2
Verse 3
Akawachukua na wale wana wawili wa Zebedayo
Akaanza kuhuzunika na kusononeka
Verse 4
Roho yangu ina huzuni, roho yangu ina huzuni
Roho yangu ina huzuni, kiasi cha kufa