SectionsExitBinadamu Ni Mavumbi

Binadamu Ni Mavumbi

Ordinary TimeExit
Verse 1

Binadamu, binadamu ni mavumbi

Mavumbini - mavumbini atarudi

Chorus

Na tukifika - huko tutaimba aleluya

Makao - makaoni ya raha, ya raha (na starehe)

Yako huko Mbingunin

Verse 3

Mwili wake - Mwili wake hukauka

Hukauka - kama ua la bondeni