Verse 1
Binadamu inama kichwa, umwabudie Mungu mtu
Hapa yupo ajapofichwa, ameshuka chini kwetu *2
Verse 2
Kwa macho yetu hatuoni, ila maumbo ya mkate
Hakuna ta mkate lakini, mwiliwe twakiri sote *2
Verse 3
Kukaa nasi umetaka, Rabbi mwema mpenda watu
Kwa tamaa nyoyo zawaka, njoo basi shuka kwetu *2