Chorus
Bikira Maria uliyekingiwa dhambi ya asilin(ee mama) (utuombee (sisi) kwa mwanaon(mpenzi) Yesu Kristu aliye mbinguni.) *2n
Verse 2
Dhambi ya asili hukuipata, ili uzaenmwana wa Mungu.
Verse 3
Wewe wasifwa ulimwenguni, nanmalaika wanakusifu.
Verse 4
Kichwa cha shetani wakikanyanga,nwewe ni mshindi wa hila zake.
Verse 5
Utusaidie katika shida, usituachentuangamie.
Verse 6
Uisimamie safari yetu, ya kwendankwake Mungu mbinguni.