Chorus
Bikira mama wa Yesu tunakusalimu
Pokea zetu salamu mama yetu mweman{Sisi wanao twakulilia mama yetu Maria
Twahangaika bondeni huku kwenye machozi
Utuokoe Mama, kwenye mateso ha-ya} * 2
Verse 2
Tuombee Mama kwa Mwanao Yesu Kristu
Sisi wakosefu yafute makosa yetu
Verse 3
Mama yetu mwema njoo ukae na sisi
Njoo utulinde na maadui wabaya
Verse 4
Fukuza shetani asitutie gizani
Njoo njoo mama wanao twaangamia