SectionsExitBikira Fumbo La Waridi

Bikira Fumbo La Waridi

Ordinary TimeExit
Chorus

Bikira fumbo la waridi (kioo cha haki)n(Bikira Amin) tuombee neema

Mbinguni (sisi) Kristu Mwanao atupeleke

Verse 2

Na twende kwa Mama Maria (sote)

Twende tupate neema tuishi kwa Baba milelen

Verse 3

Mama wa Muumba wetu (kweli)

Bikira mwenye heshima aah tuombee dhambi tutubu

Verse 4

Bikira mwenye sifa aah (kweli)

Usiye na doa aah tuombee tu wakosefu

Verse 5

Malkia wa mabikira (kweli)

Waridi lenye fumbo ooh tuombee wakosefu

Verse 6

Bikira Mtakatifu (kweli)

Mama Mpendelevu twalia Mwanao Yesu