Verse 1
Bethlehemu leo ni furaha
Yesu amezaliwa
Wachungaji enda Bethlehemu
Yesu amezaliwa
Chorus
Malaika wote wanaimba
Wanaimba juu Mbinguni
Yesu amezaliwa *2
Verse 3
Mtoto Yesu amezaliwa
Pangoni Bethlehemunwachungaji nao wamefika
Kumwona mtoto Yesu
Verse 4
Na wafalme pia wamefika
Kumwona mtoto Yesu
Na zawadi pia wamebeba
Mtoto kumpelekea
Verse 5
Utukufu una Mungu Baba
Pia hata Mwana
Na Roho Mtakatifu
Milele Aminan