Verse 1
Be still and know that I am God x3n
I am the Lord that healeth thee x3n
In thee, O Lord, I put my trust x3
Verse 2
Aliijua asili yenu hata kablanhamjaumbwa, Ramani ya maisha yenu,nyote imo mikononi mwake, magonjwanyanayowatesa na maumivu yasiyokoma,nni mdogo kuliko yale aliyoyaponya mwenyewen
Hali mbaya ya kiuchumi, mlo mmoja madeninmengi, ni njia ya kunyenyekea na kumpa
Mungu ukuu, misiba inayowaliza mnapofwanna ndugu zenu, ni njia ya wapendwa wenunkwenda mbinguni wakafurahin
Maumivu ya kuonewa kudhulumiwankusingiziwa, ni nafasi ya kusamehe nankuishi kwa utakatifu. Matatizo ya ndoanzenu na migogoro ya familia, ni bahatinmmejaliwa ya kuishi kwa uvumilivu
Bebeni misalaba uyenu, nyamazeninmsinungunike huo ndio wokovu wenunshikilieni msiachie