SectionsExitBathlimayo

Bathlimayo

Ordinary TimeExit
Verse 1

Yesu alipita mji wa Jeriko

Yesu aliponya wagonjwa kwa neno

Chorus

Bathilimayo - alikaa njiani

Bathilimayo - akiomba Mungu

Bathilimayo - aliposikia

Huyo Yesu - mwana wa Daudi

Alikuwa - akiwangojea

Alikuwa - akiwahubiria *2

Verse 3

Enyi wanadamu wenye roho ngumu

Leo mko wapi njooni mkaponywe

Verse 4

Yesu alisema pale msalabani

Yote yamekwisha akakata roho