Chorus
Basi mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari x2
Na Mungu mpeni yaliyo yake Mungu x2
Verse 2
Ndipo mafarisayo wakaenda zaonwakafanya shauri, jinsi ya kumtega kwa maneno, wakatuma kwake wanafunzi wao, pamoja na maherode wakasema -
Basi utuambie, waonaje?
Ni halali kumpa Kaisari kodi, ama sivyo?
Lakini Yesu aliufahamu uovu wao,nakaseman
Mbona mnanijaribu enyi wanafki?
Nionyesheni fedha ya kodi naonwakamletea dinari, akawaulizanni ya nani sanamu hii na anuani hii?
Wakamwambia ni ya Kaisari, akawambia