Chorus
{Baraka za Mungu leo zinashuka,nzinashuka zinashuka }*2
Tunaimba, tunaimba, twashukuru Mungu Baba
Kwa heshima, sakramenti, nafurahia Mkatoliki
Verse 2
Sakramenti ya kitubio, tunatubu
Sakramenti ya ekaristi mwili wake,
Nafurahia mkatoliki
Verse 3
Sakramenti ya ubatizo, twaokoka
Twapata na Kipaimara tuna nguvu, . . .
Verse 4
Sakramentini ya daraja pia ndoa
Twapata pia na mapadri na masista, . . .