SectionsExitBali Mimi Nikutazame

Bali Mimi Nikutazame

Ordinary TimeExit
Chorus

{ Bali mimi nkutazame uso wako (katika haki)

Niamkapo nishibishwe kwa sura yako } * 2

Verse 2

Ee Bwana usikie haki ukisikilize kilio changu

Utege sikio lako kwa maombi yangu

Verse 3

Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako ee Bwana wangu

Hakika hatua zangu hazikuondoshwa