SectionsEucharistBahati Iliyoje

Bahati Iliyoje

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Kweli bahati iliyoje kujongea meza ya Bwanan{(Ninapo) ninapokula mwili wa Bwanan(ninapo) ninapo kunywa damu ya Bwananninapata furaha kubwa amani rohoni mwangu} *2

Verse 2

Niulapo mwili wake Bwana, niunywapo damu yake Bwana,

Napata furaha na amani rohoni mwangu

Verse 3

Tule mwili wake Bwana Yesu, tunywe damu yake Bwana Yesu

Nyoyo zetu zitajawa neema na mwanga wa milele