SectionsBible ProcessionBahati Gani Ee Ndugu

Bahati Gani Ee Ndugu

Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Bahati gani ee ndugu, kuchaguliwa * 2n{ Kwenda kutangaza, enjili yake Bwana

Tumwombe Bwana awasaidie ninyi } * 2

Verse 2

Neno la Bwana ulinipa na kusema, nalikutakasa,

Nimekuweka kuwa nabii kati ya mataifa

Verse 3

Ndipo niliposema, Mungu siwezi

Maana mimi ni mtoto

Verse 4

Haya jifunge ukaondoke

Usifadhaike kwa ajili yao

Verse 5

Nao watapigana nawe lakini watashindwa

Maana mimi nipo pamoja nawe