SectionsEucharistBahati Bahati

Bahati Bahati

Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Hii ndiyo siri ya maisha mema,nna tena utamu wa kumjua Yesu

Bahati kaacha karamu kubwa

Chorus

(Bahati bahati nayo imwangukie nani Bahatinbahati aliyeipata ni nani imeandaliwa kwanwote wenye moyo saf. Simama uonje na!nmoyo wako utasisimka ) x2

Verse 3

Wateule mbona mnasitasita,

Hana ubaguzi wote awaita

Bahati kaacha karamu kubwa

Verse 4

Kama una dhambi nenda ukatubu,

Bwana hakatai mtu atubupo

Bahati kaacha karamu kubwa

Verse 5

Kama u mgonjwa, Bwana anaponya,

Kama una njaa utapata shibe

Bahati kaacha karamu kubwa

Verse 6

Yote ya dunia yakikukabili,

Piga moyo konde, nenda kwake Bwana

Bahati Kaacha karamu kubwa.