SectionsExitBado Nahitaji Kufanya Bidii

Bado Nahitaji Kufanya Bidii

Ordinary TimeExit
Chorus

{ Bado nahitaji (nahitaji) kufanya bidii

Bado nahitaji kufanya bidii kwa kuwa } *2nsina cha kujivunia mbele za Bwanan{ Nikitazama matendo yangu na mawazo yangu

Si kitu mbele za Bwana hata anitazame } *2

Verse 2

Nayatolea maisha yangu kuleta amani

Maelewano palipo na utengano

Verse 3

Uniwezeshe ee Mungu wangu niwalete kwako

Wale ambao bado hawajakujua

Verse 4

Hata nikifanya hivyo bado, sioni lolote

Niongoze nifanye mapenzi yako