Baba Yetu

Ordinary TimeSign of Peace
Chorus

Baba yetu wa Mbinguni

Jina lako litukuzwe

Ufalme wako na ufike

Utakalo lifanyike

Verse 2

Dunia kama Mbinguni

Utupe leo mkate wetu

Mkate wetu wa kila siku (Baba-)

Verse 3

Tusamehe makosa yetu (Baba)

Kama vile twawasamehe (wale)

Waliotukosea sisi (Baba-)

Verse 4

Situtie majaribuni (Baba)

Walakini utuopoe (kweli)

Maovuni utuopoe (Baba -)n

Verse 5

Kwa kuwa ufalme ni wako (Baba)

Pia nguvu na utukufu (kweli)

Utukufu hata milele (Baba-)