SectionsEucharistBaba Yetu Wa Mbinguni Baba

Baba Yetu Wa Mbinguni Baba

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Baba yetu wa mbinguni Baba

Jina lako litukuzwe [Baba]

Utakalo lifanyike *2n

Verse 2

Duniani kama Mbinguni - Baba utakalo lifanyike

Utupe leo mkate wetu-

Mkate wetu wa kila siku-

Verse 3

Tusamehe makosa yetu -

Kama vile twawasamehe -

Waliotukosea sisi -n

Verse 4

Situtie vishawishini -

Walakini utuopoe -

Maovuni utuopoe -

Verse 5

Kwa kuwa ufalme ni wako -

Na nguvu na utukufu -

Utukufu hata milele -