Chorus
Baba yetu wa mbinguni,jina lako litukuzwe,n`falme wako na ufike, utakalo lifanyike x2.
Verse 2
Duniani kama mbinguni u-tupe leo mkate wetunm-kate wetu wa kila siku (Baba)
Verse 3
Tusamehe makosa yetu (Baba) kama vile twawasamehen(wale) waliotukosea sisi (Baba)
Verse 4
Situtie majaribuni (Baba) walakini utuopoen(kweli) maovuni utuopoe (Baba).
Verse 5
Kwa kuwa ufalme ni wako (Baba) pia nguvu na utukufun(kweli) utukufu hata milele (Baba).