SectionsEucharistBaba Yetu (Misa Voi)

Baba Yetu (Misa Voi)

Ordinary Time,MarianEucharist
Chorus

[v:] Baba yetun[w:] Baba yetu uliye mbinguni *2n

Verse 2

Jina lako litukuzwe, Ufalme wako ufike

Utakalo lifanyike, Duniani kama mbinguni

Verse 3

Tupe leo riziki zetu, riziki za kila siku,

Tusamehe makosa yetu,nkama tunavyowasamehe, nasi waliotukosea

Verse 4

Situtie majaribuni, walakini utuopoe

Tuopoe maovuni, tuopoe maovuni

Verse 5

Kwa kuwa falme, ufalme ni wako

Na nguvu, utukufu milele

Utukufu milele, utukufu milele