Chorus
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe daima
Utawala wako ufike kwetu
Ewe Mungu na Baba yetu
Verse 2
Tupe leo chakula chetu - ewe Mungu Baba yetu
Utusamehe makosa yetu
Kama sisi tunavyosamehe
Verse 3
Usitutie majaribuni,nutuokoe na Yule mwovu
Verse 4
Kwa kuwa ufalme ni wako,nna nguvu na utukufu milele