Verse 1
Baba yetu uliye mbinguni -
Mbinguni Baba yetu, uliye mbinguni
Jina lako, Baba litukuzwe -
Litukuzwe, jina lako Baba litukuzwe
Ufalme wako Baba utufikie -
Fikie, ufalme wako Baba utufikie
Utakalo -
Lifanyike duniani kama mbinguni *2
Verse 2
Utupe leo mkate wetu wa kila siku -
Kila siku utupe leo mkate wetu wa kila siku
Utusamehe makosa yetu -
Yetu utusamehe makosa yetu
Tusameheavyo na sisi -
Na sisi waliotukosea
Verse 3
Usitutie katika kishawishi -
Kishawishi usitutie katika kishawishi
Lakini -
Utuopoe maovuni. Amina. Amina
Verse 4
Kwa kuwa falme ni wako ee Baba
Ee Baba kwa kuwa falme ni wako ee Baba
Nguvu na -
Utukufu na hata milele *2