SectionsEucharistBaba Yetu (Misa Imani)

Baba Yetu (Misa Imani)

Ordinary TimeEucharist
Chorus

Baba yetu Baba uliye mbinguni

Jina lako Baba litukuzwen

Verse 2

Na ufalme wako Baba uje kwetu

Na mapenzi yako Baba yatimizwe

Verse 3

Tupe leo mkate wetu wa kila siku

Mkate wetu Baba tupe kila siku

Verse 4

Na utusamehe Baba, tusamehe

Kama tufanyavyo Baba kwa wenzetu

Verse 5

Situtie Baba kwenye kishawishi

Bali utuopoe Baba maovuni

Verse 6

Ufalme na nguvu hata utukufu

Vyote vyako Baba hata milele