Baba Yetu (Misa Elizabeth)
Marian,Ordinary TimeSign of Peace
Chorus
Baba yetu wa mbinguni (jina) Jina lako litukuzwe daima
Verse 2
Ufalme wako utufikie, duniani Kama mbinguni (Baba)
Verse 3
Utupe leo riziki zetu, utusamehe makosa yetu (Baba)
Verse 4
Kama tunavyowasameha, wale wanaotukosea (Baba)
Verse 5
Usitutie kishawishini, utuopoe maovuni (Baba)
Verse 6
Kwa kuwa ufalme ni wako Baba, na nguvu na utukufu (Baba)