Baba Yetu (Kilimanjaro Moshi)
Ordinary TimeSign of Peace
Chorus
Baba Baba Baba yetu uliye mbinguni,
Jina lako litukuzwe Baba *2 litukuzwe
Verse 2
Utakalo lifanyike - Baba yetu uliye mbinguni
Duniani hata na mbinguni -
Utupe leo mkate wetu -
Tusamehe na makosa yetu -n
Verse 3
Kama vile tuwasameheavyo -
Wale wote walotukosea -
Usitutie kishawishini -
Maovuni Baba utuopoe -