Baba Yetu Ii
Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianSign of Peace
Chorus
Baba yetu
Uliye juu mbinguni jina lako litukuzwe,n(Ee Baba)
Verse 2
Ufalmeo ufke utakalo lifanyike dunianinkama Mbinguni. Baba wa mbinguni jinanlako litukuzwe.
Verse 3
Utupe leo mkate, mkate wetu na utupentupe mkate wa kila siku. Baba wanmbinguni jina lako litukuzwe.
Verse 4
Makosa tusamehe kama vile twasamehenwatu waliotukosea. Baba wa mbinguninjina lako litukuzwe.
Verse 5
Usitutie penye kishawishi walakininmaovuni utuopoe. Baba wa mbinguninjina lako litukuzwe.n
Verse 6
Kwa kuwa ufal me ni wako na nguvu nanutukufu hata milele. Baba wa mbinguninjina lako litukuzwe.