SectionsEucharistBaba Yetu Baba

Baba Yetu Baba

Marian,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Baba yetu Baba wa Mbingunin[Na] Jina lako litukuzwe

Verse 2

Ufalme wako ufike, utakalo lifanyike [na]

Verse 3

Tupe leo mkate wetu wa kila siku [na]

Verse 4

Tusamehe makosa yetu kama vile twawasamehe

Verse 5

Situtie kishawishini walakini utuopoe [na]n

Verse 6

Kwa kuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufun