Chorus
Baba yetu Baba – wa mbinguni, jina lako
Baba litukuzwe. Ufalme wako na ufke,nutakalo lifanyike x2
Verse 2
Duniani kama mbinguni ee Baba -nutakalo lifanyike
Tupe leo riziki zetu ee Baba -
Riziki zetu kila siku ee Baba -n
Verse 3
Dhambi zetu utusamehe ee Baba -
Kama vile twawasamehe ee Baba -
Waliotukosea sisi -n
Verse 4
‘Situtie kishawishini ee Baba -
Walakini tuopoe ee Baba -
Maovuni utuopoe ee Baba -
Verse 5
Kwa kuwa ufalme ni wako -
Nayo nguvu na utukufu ee Baba
Daima daaima milele ee Baba -