SectionsEucharistBaba Yangu, Baba Yangu

Baba Yangu, Baba Yangu

Lent,Lent,Lent,LentEucharist
Chorus

Baba yangu, baba yangu,n kikombe cha mateso,nnisinywe ukitaka, ukitaka

Verse 2

Ninatoa jasho - Baba yangu, baba yangu,

Bustanini hapa -

Verse 3

Ah, rafki yangu -

Wanibusu nini? -

Verse 4

Kama mwizi mbaya -

Nitafungwa kamba -

Verse 5

Wananipeleka -

Barazani mwao-

Verse 6

Uwahurumie -

Wenye kunipiga -

Verse 7

Mimi mfalme wao -

Nitatiwa miiba

Verse 8

Nitahukumiwa -

Bila kosa langu

Verse 9

Watanibebesha -

Dhambi zao zote

Verse 10

Nitasulibiwa -

Kwa ajili yao -

Verse 11

Kati ya waovu -

Ni mahali pangu -

Verse 12

Damu itatoka -

Damu ya Mkombozi -

Verse 13

Nitaosha wote -

Na makosa yao -n