Chorus
Baba mikononi mwako, naiweka roho yangu
Verse 2
Baba uwasamehe, kwani hawajui wanalofanya
Verse 3
Nakwambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami paradisoni,
Verse 4
Mama tazama huyu ndiye mwanao, tazama huyu ndiye mama wako
Verse 5
Ili andiko litimizwe, Yesu alisema naona kiu
Verse 6
Baada ya kupokea siki alisema yametimia
Verse 7
Mungu wangu Mungu wangu, mbona umeniacha
Verse 8
Baba mikononi mwako naiweka roho yangu