Baba Asante

Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Baba asante,sina cha kulipa wewe,

Baba kwa wema wako uliotujalia*2.

Verse 2

Umenipa uhai umenipa uzima telen(Nimetoa dhabihu na nimetoa sadaka,siwezi kulinganisha na wema wako bwana)×2n

Umenipa mavuno umenijalia mali nyingi

Nimetoa vipaji matoleo na fedhansiwezi kulinganishwa na wema wako bwanan

Umenipa talanta ya kukuimbia kanisani , na kusifu kwa nyimbo kwa kayamba na ngoma.

Siwezi kulinganisha na wema wako bwanan

Umenipa talanta ya kukuimbia kanisani,nnakusifu kwa nyimbo wa kayamba na ngomansiwezi kulinganishwa na wema wako bwananwewe ndiwe chetu chakula cha uzima umetushibisha yesu asante