Chorus
Aulaye mwili wangu, na kuinywa damunyangu (Asema Bwana), hukaa ndaninyangu nami hukaa ndani yake x2n
Verse 2
Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu,nana uzima wa milelen
Verse 3
Njoni enyi wenye njaa, njoni enyi wenye kiu,nnjoni kwangu niwashibishe.
Verse 4
Aniaminiye mimi, na kuyashika nisemayo,nnitamfufua siku ya mwisho.
Verse 5
Mlapo chakula hiki, mnywapo kikombe hiki,nmwatangaza kifo cha Bwana.