SectionsEucharistAtazidi Kuitwa

Atazidi Kuitwa

Baptism,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Atazidi kuitwa Yesu Mwana wa Maria milele *2

Yesu mwana wa Mungu, (atazidi kuitwa . . .)nni mwana wa Maria milele *2

Verse 2

Yeye ni mwamba, kinga na ngome yangu

Verse 3

Tabibu wangu, mwili na roho yangu

Verse 4

Nitamwimbia zaburi alfajiri

Verse 5

Vizazi vyote vitamtumikia

Verse 6

Njooni wafalme, huyu ni Mungu wetu

Verse 7

Njooni tucheze, ngoma na tarumbeta