Asubuhi Nitakuimbia
Thanksgiving
Verse 1
Ee Bwana nitakushukurunkwa moyo wangu wote *2
Chorus
Asubuhi nitakuimbia kwa shangwe nanvigelegele, nitacheza ngoma na kayamba,nkinanda pia baragumu.
Mchana nitarukaruka, usiku nitakusifu miminnitasimulia, matendo yako makuu
Verse 3
Ee Bwana nitakuabudunkwa moyo wangu wote *2
Verse 4
Ee Bwana nitakutukuzankwa moyo wangu wote *2
Verse 5
Ee Bwana kwa upendo wako miminnimeumbwa *2n
Verse 6
Ee Bwana nitayatangazanmatendo yako mema *2