SectionsExitAstahili Enzi Utajiri Na Heshima

Astahili Enzi Utajiri Na Heshima

MarianExit
Chorus

Astahili enzi utajiri na heshima

Milele milele milele milele

Astahili enzi utajiri na heshima

Milele milele milele milele

Verse 2

Mwanakondoo aliyechinjwa

Astahili kupokea enzi na utajiri

Verse 3

Na hekima na nguvu na heshima

Utukufu kwake pamoja na enzi

Daima na milele

Verse 4

Ee Mungu umpe mfalme hukumu yako

Umpe mwana wa mfalme na haki yako

Verse 5

Atawahukumu walioonewa na watu

Atawaokoa wahitaji, hatamtesa mwenye kuonewan

Verse 6

Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu

Kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele amina