{ Asifiwe Bwana Mungu aliyeumba mbingu na nchi (na nchi)
Asifiwe katika patakatifu ( pake)
Enzi na utawala wake (wa milele)
Asifiwe kwa matendo (matendo) yake makuu} *2n{ Kageuza bahari kuwa nchi kavun( na pia) ametoa maji - kwenye mwamban(Na tena) amewalisha watu - kwa mana kama Mungu } *2n{ Asifiwe yeye kwa matendo yake (hayo) makuu } *2
Asifiwe, Yeye kwa kuwa, ni Bwana wa nguvu,
Na hodari hodari wa vita, nguvu zake zapasua miliman{ Asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana)
Milele (milele) milele (milele)
Milele (milele) milele (milele)
Asifiwe Bwana na nguvu zake (tumpe)
Sifa na heshima ni vyake (ee mfalme) hata milele } *2
Asifiwe yeye kwa kuwa ni Bwana wa mabwana
Na mfalme mfalme wa wafalme,na mamlaka zatawaliwa nayen{ Asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana)
Milele (milele) milele (milele)
Milele (milele) milele (milele)
Asifiwe Bwana na nguvu zake (tumpe)
Sifa na heshima ni vyake (ee mfalme) hata milele } *2
Asifiwe Yeye kwa kuwa ni mume wa wajane,
Na Baba wa walio yatima, upendo wake hauna mipakan{ Asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana), asifiwe (Bwana)
Milele (milele) milele (milele)
Milele (milele) milele (milele)
Asifiwe Bwana na nguvu zake (tumpe)
Sifa na heshima ni vyake (ee mfalme) hata milele } *2