Asante Mungu
Ehee nakumbuka kule nilikotoka;
Ahaa najiuliza mimi nisemeje
Ehee kigugumizi kinanikamata;
Ahaa najiuliza mimi najihoji tu
Sina neno mimi sina jipya la kusema,numetenda wema mpaka unanishangaza.
Nashukuru Bwana asante Mungu tena sana asante,nasante Mungu sina maneno asante asante Mungu
Ehee ulinigusa tumboni mwa mama ...
Ehee nikazaliwa tayari kwa kazi ...n
Ehee ukanipa kuwainua watu ...
Ehee wakakuimbia na kukusifu ...
Ehee dunia iliponishambulia ...
Ehee ukasimama ukanitetea ...
Ehee nitakuimbia na nyumba yangu ...
Ehee tutakusifu siku za uhai ...
Hitimishon
Ama kweli iya unanishangaza wewe ni mwema,
Ama kweli iya unapenda watu wewe ni mwema,
Ama kweli iya unawathamini wewe ni mwema,
Nashukuru hiya Nashukuru sana wewe ni mwema
Nakusifu hiya nakusifu sana wewe ni mwema
Siku zote hiya nitakuimbia wewe ni mwemanwe ni mwema wewe ni mwema (ni mwema)nwewe ni mwema na mpole wewe ni mwemanni mwema wewe ni mwema ni mwema Hiya