Asante Mungu Baba
Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Asante Mungu Baba, Mungu wangu asante
Kwa kunipa uzima, Baba asante sana
Umenilinda mimi, wanipa na riziki
Mimi nikushukuruje kwa mema yako *2
Verse 2
Nikushukuru Baba nasema asante Mungu wangu
Maana wewe wanilinda mchana hata usiku
Verse 3
Akili yangu na ikutungie nyimbo nzuri sana
Maana wewe ndiye unifanyiaye maajabu
Verse 4
Umenilinda wiki nzima, nasema asante Bwana
Umenikinga na hatari zote Bwana nashukurun