SectionsExitAsante Mama Wa Yesu

Asante Mama Wa Yesu

MarianExit
Chorus

Asante mama wa Yesu,nasante sana mama Maria.

Uliye muombezi wetu,nsisi wanao wa dunianbaraka za mwana wako,ntunazipata kweli Maria.

Yote ni kwa ajili yako,nmuombezi mwema Maria

Verse 2

Furaha tunaipata, udhaifu unatoweka,nunyonge unatutoka, imani inaongezeka.

Verse 3

Walemavu na wagonjwa, Yesunawafariji sana, na pia anawaponya, nankuwaongezea neema

Verse 4

Mapepo wote wabaya, na yule shetaninmuovu, haraka wanakimbia kwa jina lanmwanao Yesu

Verse 5

Uzidi kutuombea,ntupate nguvu za uzima,ntusije tukapotea tufke mbinguni kwa Baba.