SectionsThanksgivingAsante Bwana Yesu

Asante Bwana Yesu

Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Asante Bwana Yesu, kwa mema yako (yote),nkwa mema yako uliyotujalia

Asante, kwa mema yako (yote),nkwa mema yako uliyotujalia.

Verse 2

Umetulisha, umetunywesha twashukuru

Mema ya mbingu tumeyapata twashukuru

Mwana wa Mungu u kati yetu twashukuru

Kwa vitu vyote ulivyotupa twashukuru

Msamaha wako umetujalia twashukuru

Asante sana kwa mema yote twashukuru