Asante Bwana Mungu
Baptism,Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Asante Bwana Mungu,n[t] Asante asante Mungu wangu
Asante asante Muumba wangu
Twasema asante
Verse 2
Umejawa na rehema umejawa na upendo
Twaja kwako ewe Bwana utubariki *2
Verse 3
Sisi ni wakosefu twaomba msamaha
Kwa dhambi tutendazo twasema asante *2
Verse 4
Ubarikiwe Baba uinuliwe Bwana
Uhimidiwe Bwana siku zote *2