Apewe Sifa

BaptismThanksgiving
Verse 1

{ Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee heee

Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee } *2n

Chorus

n{ Utukufu nakupa wewe, utukufu nakupa wewe,

Sifa na heshima nakupa we,

Ewe mwenyezi unaweza } *2

Verse 3

Nguzo ya moto aliwasha, nilindwe usiku,

Nayo ya wingu akashusha nipite mchana

Nakumbuka mapito yote, niliyopitia,

Nakumbuka na njia zote, nilizopitian

Tazama Mungu tazama wewe,

Tazama Mungu tazama wewe

Tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yako

Tazama Mungu tazama wewe,n(tazama Mungu ) ni mwaminifu

Tazama Mungu tazama wewe unatimiza ahadi yakon

Utukufu nakupa . . .

Verse 4

Jemedari mwenye maguvu, yule Goliathi,

Akamlaza kwa kombeho, mkononi mwangu

Nakumbuka alikemea, mawimbi ya maji,

Nakumbuka yalimtii, nikafika ng'ambo

Tazama Mungu tazama . . .n

Utukufu nakupa . . .n

Verse 5

~ ~ ~na) Bahari haiwezi kutuzuia -

Tunatembea bila mitumbwi

Na maji yanageuka kuwa ukuta -

Mungu mwenyewe ni mtumbwi wetu tunavukan

Verse 6

nb) Maana amesema tumfuate -

Mizigo itulemeayo tukampe -

Verse 7

nc) Muhimu tumwendee tukiamini -

Na hata juu ya maji tutakanyagaa -

Verse 8

n~ ~ ~n{ Alimkumbuka Daudi mtumishi wake

Akamkweza akawavusha waisraelnkatika maji bila mitumbwi } *2

Verse 9

Apewe, apewe, apewe sifa kuu

Mungu apewe, apewe, milele milele

Apewe apewe, apewe sifa kuu

Mungu apewe, apewe

Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu hee hee