SectionsExitApandaye Mbingu Za Mbingu

Apandaye Mbingu Za Mbingu

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Apandaye mbingu za mbingu za tangu milele

Apandaye mbingu, mbingu za mbingu za tangu milele

Aitoaye sauti, sauti yake, sauti ya nguvu

Aitoaye sauti, sauti yake, sauti ya nguvu

Verse 2

Mhesabihenni Mungu nguvu

Enzi yake i juu ya Israeli

Na nguvu zake zi mawinguni

Verse 3

Mungu ni mwenye kutisha

Kutoka patakatifu pake

Ndiye Mungu wa Israeli

Verse 4

Yeye huwapa watu wake

Nguvu nao uwezo

Na ahimidiwe Bwana mwenyezi Mungu