SectionsBible ProcessionAngalieni Nawatuma Kama Kondoo

Angalieni Nawatuma Kama Kondoo

Baptism,Ordinary TimeBible Procession
Chorus

{ Angalieni mimi nawatuma kama kondoo

Kati ya mbwa mwitu } *2n{ Msiwe wakali tena muwe na busara

Hata muwe wapole tena kama njiwa } *2

Verse 2

Angalieni sana haya niwaambiayo ninyi

Myashike vizuri, mshinde majaribu

Mpate kuokokan

Verse 3

Muwe wavumilivu na pia wa upendo

Kama nilivyo wapenda

Verse 4

Roho wa kweli awaongoze

Mpate kufaulun