Chorus
Angalieni msifanye wema wenu,
Msifanye wema wenu machoni mwa watu,
Ili mtazamwe nao,
Kwa maana, mkifanya hivyo hampatindhawabu kwa baba yenu aliye Mbinguni
Verse 2
Basi wewe utoapo sadaka,
Usipige panda mbele yako,
Kama wanafiki wafanyavyo,nkatika masinagogi na njiani,
Ili watukuzwe na watu.
Verse 3
Amin amin nawaambieni,
Wamekwisha pata dhawabu yao,
Bali wewe utoapo sadaka,
Hata mkono wako wa kushoto usijue,
Ufanyalo mkono wako wa kuume.n