Chorus
Angalieni ke-sheni na ku-jiweka tayarinasije Bwana akawakuta m-melala
Angalieni ke-sheni na ku-jiweka tayarinasije Bwana akawakuta m-melala
Verse 2
Ke-sheni kesheni basi kwa maana hamjui
Ni siku ipi atakayokuja Bwana kwenu
Verse 3
Lakini fahamuni neno hili, kama mwenye nyumba angalijua
Saa atakayokuja mwenyeji angali kesha angali kesha
Verse 4
Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani
Ndipo ajapo ajapo Mwana wa Adamu