SectionsSign of PeaceAnga Na Mbingu

Anga Na Mbingu

EasterSign of Peace
Verse 1

Anga na Mbingu vitangaze haya,

Dunia yote ishangilie jambo hili

Chorus

Tazama Kristu amejifufua, tazama Bwana kashinda mauti

Bwana Yesu kafufuka, ameyashinda mauti

Watu wote duniani tuimbe (aleluya),

Tuimbe (kafufuka), Aleluya aleluya Bwana kafufuka tuimbe aleluyan

Verse 3

Maria Salome na Magdalena,

Walishangazwa kulikuta kaburi wazi

Verse 4

Na malaika akawatokea,

Akawaambia, Bwana Yesu amefufuka

Verse 5

Katangulia kule Galilaya,

Nendeni huko ndiko mtakakomkuta