Verse 1
Anayekula mwili wangu na anywayendamu yangu, anaishi ndani yangu,nye’ hatakufa milele
Chorus
Yesu wangu, nakuomba nishibishe na mwilio,nnayo damu yako ninywe ‘japo sistahili mimi.
Verse 3
Ndani yangu Mwokozi yumo, kwa mwilinna damu yake, ni rafki yangu kweli,nnami sitamwacha kamwe.
Verse 4
Alikuja kutuokoa, tuliokuwa dhambini,nkwa kifo chake msalabani,nnaye ‘katupa uzima.
Verse 5
Yesu wangu, uni bariki, nifundishe njianzako, nipe moyo wa shukrani,nnitembee nawe leo