Verse 1
Anakuja mwenye enzi Bwana mfalme
Wanadamu kutukomboa
Anakuja kututoa utumwani
Wanadamu kutukomboa
Chorus
{ Bwana mfalme, anakuja kwetu
Anakuja anakuja anakuja kwetu } *2n
Verse 3
Anakuja andaeni njia yake
Tayarisha mapito yake
Nasi kweli tukamlaki ndiye mkuu
Ni mwanga wetu dunianin
Verse 4
Anakuja kwa ajili yetu sisi
Anatuletea wokovu
Ni masiha hivyo nasi tumngojee
Tumaini la wanadamu