SectionsEucharistAmua Mwenyewe

Amua Mwenyewe

Ordinary TimeEucharist
Chorus

{ Amua mwenyewe ndugu unayesikiliza,

Kwa moyo wako pia matendo yako

Amua mwenyewe ee amua mwenyewe } *2

Siku itafika tena yaja,

Hakutakuwa kuamua, wala kuambiwa maanan{ Kila mtu atauchukua, atauchukuanmzigo wake mwenyewe } *2

Verse 2

Ndugu amua mwenyewe leo,

Uchague kwa moyo wako.

Verse 3

Uache dhambi umrudie Mungu,

Uchague kwa moyo wako.

Verse 4

Toa sadaka za kumpendeza,

Uchague kwa moyo wako.